FREE KENYA POPULAR INITIATIVE

WELCOME TO FREEKENYA

Support for the referendum to enact an amendment of the constitution of Kenya to abolish all taxes on basic and essential commodities, and to restructure the state so as to ensure respect for the voice of the people

#PeoplePowerHigherPower

FREE KENYA:

Vugu vugu la Kenya huru au kwa ki mombo "FreeKenya movement" imezindua rasmi mapendekezo yalimo katika referendum hii ya mwanainchi.

Basi msikate tamaa kwani mapendekezo haya yanalenga kuimarisha na kustawisha maisha ya Mkenya kupitia mabadiliko ya kikatiba kama ilivyo katika kipengele Cha 1 na 257 cha katiba yetu.

FreeKenya iko katika harakati ya kusanya sahihi milioni moja kwa wale waliosajiliwa kama wapiga kura ili kuanzisha rasmi safari hii.

FreeKenya is a national constitutional platform build around the realization that the responsibility for the foundational contract is limiting the potential and aspirations of the peoples of Kenya. 

After 9 years, it is time to realize that despite being very progressive, the Constitution 2010 has some gaps and hurdles that are allowing the bad mannerism of yore to find their way back into our midst and it has not compelled the implementers to aim higher in terms of the potentials that the constitution promised.